siku kama ya leo mwaka 1951 alizaliwa Fashion Designer huko Elmira mjini New York na leo ametimiza umri wa miaka 65.
Tommy Hilfiger ambae ni Fashion designer anatambulika zaidi kwa bidhaa zake nchini Marekani. pia amekwishaonekana mara kadhaa katika reality shows ikiwemo American Idol.
alianza kutengeneza nguo zake zenye nembo ya jina lake akiwa na umri wa miaka 18 tu na kuanza kuziuza kwenye maduka madogo madogo tu.
Tommy alimpa mkataba mnono hayati Aaliyah, mkataba ambao ulimtaka Aaliyah atangaze Brand za Tommy.
hii ilikuwa mwaka 1998.