Siku kama ya leo, Mwaka...

Siku kama ya leo, Mwaka...

ktk viunga vya Frolida mjini Buenos Aires nchini Argentina alizaliwa mwanasoka Erick Lamera...
ilikuwa mwaka 1992
 
siku kama ya leo Mwaka 1965
huko Houston Marekani alizaliwa Mwanamieleka Undertaker.

leo ametimiza miaka 51
alizaliwa kama Mark Calaway, ni bingwa mara nne wa World Heavyweight

kabla hajawa maarufu jamaa alikuwa mcheza basketball wa Waltripp High School na kisha Texas Wesleyan University.
 
leo ametimiza miaka 32.
Mwaka 1984 siku kama ya leo huko
Dallas alizaliwa mcheza Basketball Chris Bosh.

forward huyo wa Miami Heat alieshinda back-to-back ubingwa wa NBA akiwa na Miami Heat 2012 na 2013 pia amechaguliwa mara kumi mfululizo kucheza All-Star games kutoka mwaka 2006 mpaka 2015.
 
siku kama ya leo mwaka 1951 alizaliwa Fashion Designer huko Elmira mjini New York na leo ametimiza umri wa miaka 65.

Tommy Hilfiger ambae ni Fashion designer anatambulika zaidi kwa bidhaa zake nchini Marekani. pia amekwishaonekana mara kadhaa katika reality shows ikiwemo American Idol.

alianza kutengeneza nguo zake zenye nembo ya jina lake akiwa na umri wa miaka 18 tu na kuanza kuziuza kwenye maduka madogo madogo tu.

Tommy alimpa mkataba mnono hayati Aaliyah, mkataba ambao ulimtaka Aaliyah atangaze Brand za Tommy.
hii ilikuwa mwaka 1998.
 
mwaka 1911 siku kama ya leo huko
New York City alizaliwa moja kati ya Director bora wa katuni.

kama ni muangaliaji wa katuni ya Tom & Jerry basi jina Joseph Barberra si geni kwako.
Joseph Barberra akiwa na Director mwenzie William Hanna kwa pamoja walikutana na Producer Fredy Quimby na kushusha katuni hio ilioshika na kuendelea kufanya vizuri katika tasnia hio.

bahati mbaya Dec 18, 2006 akiwa na umri 95 huyu bwana alikata pumzi yake ya mwisho n umauti ukamkuta.
 
mwanamuziki mkongwe wa hiphop Cappadonna siku kama ya leo mwaka 1998 alifyatua album yake iliokwenda kwa jina la The Pillage
 
katika NBA siku kama ya leo Patrick Ewing wa New York Knicks alifunga pointi 51 lakini haikuweza kuepusha kipigo cha pointi 115-110 toka kwa Boston Celtics .

hii ilikuwa mwaka 1990
 
March 26 mwaka 1944 huko Detroit nhini Marekani alizaliwa mwanamuziki Diana Ross.
hii leo ametimiza umri wa miaka 72.

Detroit , MI
 
March 27 1986 huko
Gelsenkirchen nchini Germany alizaliwa golikipa Manuel Nuier.

Nuier ambaye ni mshindi wa kombe la Dunia na pia ni moja kati ya walinda mlango bora Duniani jana alitereza na kukubali kipigo cha goli 3-2 toka kwa England.

Happy birthday kwako mkuu
 
on this Day...
For the first time in recorded history,
Niagara Falls stopped flowing. An ice jam in the Niagara River above the rim of the falls caused the water to stop.
 
on this day 1867
The North America Act was passed by the British parliament, creating the dominion of Canada .
 
siku kama ya leo mwaka 1973
majeshi yq mwisho ya Marekani yaliondoka kwa aibu huko South Vietnam .
 
in this Day in 2002
Israel declared Yasir Arafat an enemy.
 
DJ Jazzy Jeff & The Fresh Prince released their second studio album He’s The DJ, I’m The Rapper .
it was March 29, 1988
 
on this day
Ol’ Dirty Bastard released his debut album Return to the 36 Chambers.

it was March 29, 1995
 
ilikuwa March 29, 1996 pale
Alonzo Mourning wa Miami Heat alifungia pointi 50 timu yake hiyo katika ushindi wa 112 dhidi ya 93 za Washington Bullets.
 
Back
Top Bottom