Siku kuu ipoje kwako

Si unapenda aifoni pole sana kwa kukosa kwenda kuishangaa dunia
πŸ˜‚ haiumiii sana
Mbuga waliyoenda nilishaendaga. Na wanyama ni wale wale. Sema vibe tu la njiani nimekosa.

Eid is coming, wale wadau wangu wao kutoka Dar kwenda kula lunch Moro ni jambo dogo. Acha nivizie Eid 🀭🀭
 
Wanyama wamebadilika, hujaskia kuna mjane wa bob junior huko mbuganiπŸ˜…

Eid sio mbali lipiza
 
Wanyama wamebadilika, hujaskia kuna mjane wa bob junior huko mbuganiπŸ˜…

Eid sio mbali lipiza
Yule mjane yuko Sere.. wao wamezama shimo aka crater. Ingekuwa Sere ningeumia sanaa πŸ˜‚πŸ˜‚

Eid bado kama week 2 😍
 
Nliamka asubuh, nlifanya usafi, nkapika chai na kunywa, nkachukua cm angu nkawa naswampaa mitandaoni huku natazama movie kwa PC,

mchana usingizi ulinikabaa, nkazima PC, nliweka cm charge nkalalaa fofofo, nimekuja kushtuka saa 2 usiku tena mgeni mwenyeji alikua anagonga mlango wa sebuleni,

Nkampokea uzuri alikuja na mazaga ya msosi, tukala, tukapumzika then ndo hapa naswampaaa JF.
 
Leo yule hala hala dear eX kanitafuta kunitakia pasaka njema.

Nikakumbuka alishaapa hatokaa anitafute labda afe afufuke nikabaki natabasamu sijui ndio alishakufa na kufufuka πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…