Beverlyn
JF-Expert Member
- Aug 17, 2019
- 704
- 2,907
😂 haiumiii sanaSi unapenda aifoni pole sana kwa kukosa kwenda kuishangaa dunia
Mbuga waliyoenda nilishaendaga. Na wanyama ni wale wale. Sema vibe tu la njiani nimekosa.
Eid is coming, wale wadau wangu wao kutoka Dar kwenda kula lunch Moro ni jambo dogo. Acha nivizie Eid 🤭🤭