Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Hivi Africa kweli tulipatiwa uhuru au ilikuwa ni hadaa? Angalia congo watu wake wanavyouawa kisa nchi za magharibi zinataka kuchota Mali kwa kupitia kwa kagame na mseveni thru M23. Hawa M23 wanapew asilaha na ufaranasa na marekani kwa kupitia Rwanda kw akagame. Kwa nini nchi za Africa tusiungane kupinga na kusema tuko huru?