Hivi Africa kweli tulipatiwa uhuru au ilikuwa ni hadaa? Angalia congo watu wake wanavyouawa kisa nchi za magharibi zinataka kuchota Mali kwa kupitia kwa kagame na mseveni thru M23. Hawa M23 wanapew asilaha na ufaranasa na marekani kwa kupitia Rwanda kw akagame. Kwa nini nchi za Africa tusiungane kupinga na kusema tuko huru?
Ila upigaji ni mkubwa sana. Iko hivi huku kwenye hizi nchi ulizotaja chanzo cha amani ni viongozi wachumia tumbo kuingia mikataba ya kinyonyaji na wawekezaji kwa maslahi yao binafsi.Mbona Africa Kusini, Botswana, Ghana na Tanzania kuna madini mengi tu ila hakuna vita??
Kuna mawe yameokotwa juzi juzi, hapa yanatoa umeme na cheche. Kwa hiyo tutegemee vita zaidi?Hivi Africa kweli tulipatiwa uhuru au ilikuwa ni hadaa? Angalia congo watu wake wanavyouawa kisa nchi za magharibi zinataka kuchota Mali kwa kupitia kwa kagame na mseveni thru M23. Hawa M23 wanapew asilaha na ufaranasa na marekani kwa kupitia Rwanda kw akagame. Kwa nini nchi za Africa tusiungane kupinga na kusema tuko huru?