Siku Matajiri walipokutana Dsm - Tanzania

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
19,484
Reaction score
38,416

Novemba 19, 2019, Nchi tajiri duniani zilikutana mjini Dar es Salaam na mwenyeji wao Tanzania ambayo wakati huo ilikuwa tajiri pia....sijui imekuaje tena kwa sasa kila siku tunatembeza bakuli la kukopa? Au ndiyo yale ya kila tajiri ana mokopo? johnthebaptist
Tumerudi kwenye umasikini?
Kwa kweli Mwamba alituweza
 
Mtaji wa maskini ni Nguvu zake!
 
Ukute bajeti ya kugharamia huo Mkutano Ilitoka Norway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…