Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Novemba 19, 2019, Nchi tajiri duniani zilikutana mjini Dar es Salaam na mwenyeji wao Tanzania ambayo wakati huo ilikuwa tajiri pia....sijui imekuaje tena kwa sasa kila siku tunatembeza bakuli la kukopa? Au ndiyo yale ya kila tajiri ana mokopo? johnthebaptist
Tumerudi kwenye umasikini?
Kwa kweli Mwamba alituweza