Siku mbaya kwa makanjanja redioni leo

Siku mbaya kwa makanjanja redioni leo

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
nasikiliza reedio clouds fm hapa dah kuna kanjanja moja mwandamizi linalopenda kusihambulai simba liko very low baada ya utoplo kupigwa na team ngumu kabisa kutoka tanga iitwayo african sports

dah aisee poleni makanjanja mengine yako busy ksuimulia jinsi y azam kuifunga simba kesho..MO KAZA HAPOHAPO HELA YA KUWAHONGA MAKANJANJA BORA UKAWANUNULIE MBWA WAKO NYAMA CHOMA KWA KWELI

leo yule tulieyembiwa ni mkali kuliko mo salah tunaambiwa tumpe time kidogo ,poleni utopoolo mechi ilikuwa dhidi ya team ngumu sana hat al hilal na mazembe hawafikii level zake
 
Furaha ya Mashabiki wa Yanga..

-Saido bora kuliko chama
-Onyango ana sura mbaya
-Mo hajaweka 20B
-Simba atafungwa kwenye group lake.
-Kisinda bora kuliko miquissone
Morrison.
-Simba wazee
-Chama mchezaji wa kawaida sana.

Uto kama uto😂😂😂😂
 
Kesho Simba tunamaliza mchezo mapema mikia wanaluhusiwa kuja uwanjani kuangaria pila burudani.
 
Wamatopeni naona mnafurahi kusikia mechi za kirafiki kupoteza.
 
Wamatopeni naona mnafurahi kusikia mechi za kirafiki kupoteza.
sisi tulipata mechi za kirafiki na teams ndogo sana al hilal na mazembe huwezi linganisha na wana kimanumanu ila leo mmewapa shida sana makanjnja redio zimepoa kweli basi sawa tumeambiwa tumpe muda fiston ambye ni mkali kuliko mo salah haina shida tutampa muda
 
Walichonga ngenga Sana et Al hilal Ni wabovu mara tumejichagulia vibonde ,haya sasa ona hii aibu ya mwaka mnapigwa na wadogo zenu tena mkiwa full
 
nasikiliza reedio clouds fm hapa dah kuna kanjanja moja mwandamizi linalopenda kusihambulai simba liko very low baada ya utoplo kupigwa na team ngumu kabisa kutoka tanga iitwayo african sports
dah aisee poleni makanjanja mengine yako busy ksuimulia jinsi y azam kuifunga simba kesho..MO KAZA HAPOHAPO HELA YA KUWAHONGA MAKANJANJA BORA UKAWANUNULIE MBWA WAKO NYAMA CHOMA KWA KWELI
leo yule tulieyembiwa ni mkali kuliko mo salah tunaambiwa tumpe time kidogo ,poleni utopoolo mechi ilikuwa dhidi ya team ngumu sana hat al hilal na mazembe hawafikii level zake
Magarasa fc,Kuna garasa lilkuwa linapewa Sana promo linaitwa cjui piston,fiston,DK 90 lilikuwa linambwela mbwela tu uwanjani.
Uto km uto wamepigwa nyuma na mbele.
 
Asee ukisikia makanjanja yanavyoipa timu yao utopolo ushindi wa magoli mengi,unaweza kudhani ukweli kumbe ukweli umebaki salamu tu!
Yanga hii kumbe dawa yake chips kavu,unakabidhiwa bikra
 
Bila kubebwa na waamuzi hawa jamaa ni kama Singida united tu
Magarasa fc,Kuna garasa lilkuwa linapewa Sana promo linaitwa cjui piston,fiston,DK 90 lilikuwa linambwela mbwela tu uwanjani.
Uto km uto wamepigwa nyuma na mbele.
 
Now i understand!! Ismail Aden Rage, the former Simba Sports Club Chairman, is a genius! when he referred some of you as "Mbumbumbu"
 
Back
Top Bottom