njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
sisi tulipata mechi za kirafiki na teams ndogo sana al hilal na mazembe huwezi linganisha na wana kimanumanu ila leo mmewapa shida sana makanjnja redio zimepoa kweli basi sawa tumeambiwa tumpe muda fiston ambye ni mkali kuliko mo salah haina shida tutampa mudaWamatopeni naona mnafurahi kusikia mechi za kirafiki kupoteza.
Magarasa fc,Kuna garasa lilkuwa linapewa Sana promo linaitwa cjui piston,fiston,DK 90 lilikuwa linambwela mbwela tu uwanjani.nasikiliza reedio clouds fm hapa dah kuna kanjanja moja mwandamizi linalopenda kusihambulai simba liko very low baada ya utoplo kupigwa na team ngumu kabisa kutoka tanga iitwayo african sports
dah aisee poleni makanjanja mengine yako busy ksuimulia jinsi y azam kuifunga simba kesho..MO KAZA HAPOHAPO HELA YA KUWAHONGA MAKANJANJA BORA UKAWANUNULIE MBWA WAKO NYAMA CHOMA KWA KWELI
leo yule tulieyembiwa ni mkali kuliko mo salah tunaambiwa tumpe time kidogo ,poleni utopoolo mechi ilikuwa dhidi ya team ngumu sana hat al hilal na mazembe hawafikii level zake
Na shibe pia ilichangia,wanakula milo saba kwa siku.Actually Yanga walikua na uchovu wa safari. Kumbuka toka Kigamboni mpaka chamazi ni mbali sana
Linaitwa FistulaMagarasa fc,Kuna garasa lilkuwa linapewa Sana promo linaitwa cjui piston,fiston,DK 90 lilikuwa linambwela mbwela tu uwanjani.
Uto km uto wamepigwa nyuma na mbele.
Magarasa fc,Kuna garasa lilkuwa linapewa Sana promo linaitwa cjui piston,fiston,DK 90 lilikuwa linambwela mbwela tu uwanjani.
Uto km uto wamepigwa nyuma na mbele.
Now i understand!! Ismail Aden Rage, the former Simba Sports Club Chairman, is a genius! when he referred some of you as "Mbumbumbu"