Napajua hapo mi huwa ni private car naingia natulia tunaanza kuilaumu serikali hadi mnazi mmojaKama ulikuwepo an mnaenda huku.
Mnakaa kidogo mnarudi kule...
Na pale nina uhakika kuna watu wataka mpaka saa nne
Pole sanaKweli mkuu...
Alafu watu wa pembeni wanaweza kukuona mzembe kuanguka mtu mzima ila deep down ni hali ya kawaida .
Wewe boda wa mchongo takudaka tuu time will tell
Daaah bora yako mkuu..Napajua hapo mi huwa ni private car naingia natulia tunaanza kuilaumu serikali hadi mnazi mmoja
Au Simba na yanga hadi tunafika
Mkuu sina mengi ila... Haya hayamkuti nyaniPole sana
Sasa mwanawane mie nina kakiwanja kangu nataka kakaendelea kwa kujenga chumba master, sebule kajiko na public toilet. Inaweza gharimu kiasi gani angalau nikuchangie upate hela ya kununu kivespar usiwe una kula ngwala kwa matatu
Kuna rafiki yangu mmoja kila siku alikua ananiachaga kituoni binafsi sion kama ni USTAARABU kupigana vikumbo na kugombea kuingia kwenye gari kupitia ma dirishani..Hapo vizuri sana.
Usigombanie daladala Ila tenga miatano mpe MTU agombanie siti then unampa hiyo miatano.
Kama kuna ulazima wa kufanya hivyo
Kuna rafiki yangu mmoja kila siku alikua ananiachaga kituoni binafsi sion kama ni USTAARABU kupigana vikumbo na kugombea kuingia kwenye gari kupitia ma dirishani..
Huyu rafiki yangu alikua ni staadi Sana walikua wakigombea jamaa anapitoanchini ya kwapa huyo yumo ndani π π
Ina itaji timing Sana kupigana vikumbo na aibu Zaid kidume kudondoshwa na mwanamke binafsi Mimi sinaga hizo tabia zakugombea madaladala naonaga ni tabia za uncivilized society. Yaan Kuna sehemu mtu mzima ana act Kama mtoto vile WAKATI ni mtu mzima na tegemeo la familia.Niliwahi kuona jamaa anaangushwa na kuishia chini
Alipigwa kiwiko na mwanamke tena hawa wanawake wadogo 20s sema baada ya kukaa niligundua yule Dada ni Msukuma .
Ilikuwa stend ya sinza na hizo zilikuwa gari za Gongo la mboto.ππ€
Asante sana mkuu.Pole mkuu
Bia situmii mkuu.. ila hapa nimetoka kunua supu nikanywa safi kabisa anNenda Kwa mzungu kale beer
Mkuu haya mambo yanahitaji ujitoe ufahamu na akili timamu..Kuna rafiki yangu mmoja kila siku alikua ananiachaga kituoni binafsi sion kama ni USTAARABU kupigana vikumbo na kugombea kuingia kwenye gari kupitia ma dirishani..
Huyu rafiki yangu alikua ni staadi Sana walikua wakigombea jamaa anapitia chini ya kwapa huyo yumo ndani π π
Hapana mkuu nipo hom mda mrefu sana.. hii mpaka kesho tenaPole mkuu,kama haujachafuka then amka jipukute uendelee kupigania mabasi yanayokuja.
Gongo la mboto tunakaa na wamama wa ajabu sana .Niliwahi kuona jamaa anaangushwa na kuishia chini
Alipigwa kiwiko na mwanamke tena hawa wanawake wadogo 20s sema baada ya kukaa niligundua yule Dada ni Msukuma .
Ilikuwa stend ya sinza na hizo zilikuwa gari za Gongo la mboto.ππ€
hahahaah kurudi mkoani ni udhaifu uliopitiliza mkuuDar wanaoishi vizuri ni wachache sana. Wengi tunaona aibu tu kurudi mikoani ila tunachapika haswa
Sasa mkuu ukisema uncivilized society inabidi uwe umejipanga..Ina itaji timing Sana kupigana vikumbo na aibu Zaid kidume kudondoshwa na mwanamke binafsi Mimi sinaga hizo tabia zakugombea madaladala naonaga ni tabia za uncivilized society. Yaan Kuna sehemu mtu mzima ana act Kama mtoto vile WAKATI ni mtu mzima na tegemeo la familia.
Yaani mambo yamekua vurululu valala hata mama mjamzito hapishwi siku hizi.Usafiri wa kwenda mjini kwa maeneo mengi daslam ni changamoto.
Mbezi mwisho madirisha nayo yashageuka milango, si kina mama wala vijana wa kiume wote wanang'ang'ana kuingilia madirishani maana mlango haupitiki.
Na hapo sio anawahi siti, yaani iwe iwavyo ni lazima asafiri.