Siku mbaya: Nimeanguka hapa Gongo la Mboto kituoni kisa kugombania gari ya Mnazi Mmoja

Kweli mkuu...
Alafu watu wa pembeni wanaweza kukuona mzembe kuanguka mtu mzima ila deep down ni hali ya kawaida .

Wewe boda wa mchongo takudaka tuu time will tell
Pole sana
Sasa mwanawane mie nina kakiwanja kangu nataka kakaendelea kwa kujenga chumba master, sebule kajiko na public toilet. Inaweza gharimu kiasi gani angalau nikuchangie upate hela ya kununu kivespar usiwe una kula ngwala kwa matatu
 
Napajua hapo mi huwa ni private car naingia natulia tunaanza kuilaumu serikali hadi mnazi mmoja
Au Simba na yanga hadi tunafika
Daaah bora yako mkuu..
Mi ni mtu wa kash kash ila leo kuna watu walikubaliana kuniabisha ila Mungu si athuman bana
 
Pole sana
Sasa mwanawane mie nina kakiwanja kangu nataka kakaendelea kwa kujenga chumba master, sebule kajiko na public toilet. Inaweza gharimu kiasi gani angalau nikuchangie upate hela ya kununu kivespar usiwe una kula ngwala kwa matatu
Mkuu sina mengi ila... Haya hayamkuti nyani
 
Hapo vizuri sana.

Usigombanie daladala Ila tenga miatano mpe MTU agombanie siti then unampa hiyo miatano.

Kama kuna ulazima wa kufanya hivyo
Kuna rafiki yangu mmoja kila siku alikua ananiachaga kituoni binafsi sion kama ni USTAARABU kupigana vikumbo na kugombea kuingia kwenye gari kupitia ma dirishani..

Huyu rafiki yangu alikua ni staadi Sana walikua wakigombea jamaa anapitia chini ya kwapa huyo yumo ndani 😊 😅
 
Pole mkuu,kama haujachafuka then amka jipukute uendelee kupigania mabasi yanayokuja.
 
Kuna rafiki yangu mmoja kila siku alikua ananiachaga kituoni binafsi sion kama ni USTAARABU kupigana vikumbo na kugombea kuingia kwenye gari kupitia ma dirishani..

Huyu rafiki yangu alikua ni staadi Sana walikua wakigombea jamaa anapitoanchini ya kwapa huyo yumo ndani 😊 😅

Niliwahi kuona jamaa anaangushwa na kuishia chini

Alipigwa kiwiko na mwanamke tena hawa wanawake wadogo 20s sema baada ya kukaa niligundua yule Dada ni Msukuma .

Ilikuwa stend ya sinza na hizo zilikuwa gari za Gongo la mboto.😑🤔
 
Ina itaji timing Sana kupigana vikumbo na aibu Zaid kidume kudondoshwa na mwanamke binafsi Mimi sinaga hizo tabia zakugombea madaladala naonaga ni tabia za uncivilized society. Yaan Kuna sehemu mtu mzima ana act Kama mtoto vile WAKATI ni mtu mzima na tegemeo la familia.
 
Usafiri wa kwenda mjini kwa maeneo mengi daslam ni changamoto.

Mbezi mwisho madirisha nayo yashageuka milango, si kina mama wala vijana wa kiume wote wanang'ang'ana kuingilia madirishani maana mlango haupitiki.

Na hapo sio anawahi siti, yaani iwe iwavyo ni lazima asafiri.
 
Kuna rafiki yangu mmoja kila siku alikua ananiachaga kituoni binafsi sion kama ni USTAARABU kupigana vikumbo na kugombea kuingia kwenye gari kupitia ma dirishani..

Huyu rafiki yangu alikua ni staadi Sana walikua wakigombea jamaa anapitia chini ya kwapa huyo yumo ndani 😊 😅
Mkuu haya mambo yanahitaji ujitoe ufahamu na akili timamu..

Mi mara nyingi ndo zangu hizo an ni step tuu .
Ndio mana nasema leo wale mbwa waliniamulia
 
Niliwahi kuona jamaa anaangushwa na kuishia chini

Alipigwa kiwiko na mwanamke tena hawa wanawake wadogo 20s sema baada ya kukaa niligundua yule Dada ni Msukuma .

Ilikuwa stend ya sinza na hizo zilikuwa gari za Gongo la mboto.😑🤔
Gongo la mboto tunakaa na wamama wa ajabu sana .

Na wana uwezo wa kukutoa mchezoni mapemaaa ukabaki unashangaa
 
Ina itaji timing Sana kupigana vikumbo na aibu Zaid kidume kudondoshwa na mwanamke binafsi Mimi sinaga hizo tabia zakugombea madaladala naonaga ni tabia za uncivilized society. Yaan Kuna sehemu mtu mzima ana act Kama mtoto vile WAKATI ni mtu mzima na tegemeo la familia.
Sasa mkuu ukisema uncivilized society inabidi uwe umejipanga..
Uwe vzri lakini kwa wenzangu na mm ili uwahi mzigoni lazima ukutane na hizi purukushan
 
Usafiri wa kwenda mjini kwa maeneo mengi daslam ni changamoto.

Mbezi mwisho madirisha nayo yashageuka milango, si kina mama wala vijana wa kiume wote wanang'ang'ana kuingilia madirishani maana mlango haupitiki.

Na hapo sio anawahi siti, yaani iwe iwavyo ni lazima asafiri.
Yaani mambo yamekua vurululu valala hata mama mjamzito hapishwi siku hizi.

Watu wana roho ngumu
 
Back
Top Bottom