Siku mbaya: Nimeanguka hapa Gongo la Mboto kituoni kisa kugombania gari ya Mnazi Mmoja

Ametoka wapi huyu katikati ya matajiri wenye magari na tunaotembea na wanawake wazuri tu?
hahahha deep down sasa .
Kuna watu humu wananiita tajiri kule PM kisa kutuma vocha za bure..

Alafu leo mnasema watu na magari yao..shabash
 
Reactions: Tsh
Fundi majumba huna hata pickup ya kubebea vifaa vyako daa
Mafundi mnafeli wapi?
Kuna mmoja aliniuliza una msumari mmoja nimalizie kazi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…