hee pole kumbe ndiyo wewe nimekuona halafu mimi ndiye nilikupush kwanguvu pole lakiniSiku yangu leo imeharibika mazima wakuu. Fundi leo nimejua kuaibika..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hee pole kumbe ndiyo wewe nimekuona halafu mimi ndiye nilikupush kwanguvu pole lakiniSiku yangu leo imeharibika mazima wakuu. Fundi leo nimejua kuaibika..
Kijana mi sawa na mzee wako...hee pole kumbe ndiyo wewe nimekuona halafu mimi ndiye nilikupush kwanguvu pole lakini
Ametoka wapi huyu katikati ya matajiri wenye magari na tunaotembea na wanawake wazuri tu?Mkuu,
Humu Jf wote tuna magari iweje wewe hauna hata ka starlet,vits, ist mkuu 😊 😅 bagoshaa
Pole sana mzee
hahahha deep down sasa .Ametoka wapi huyu katikati ya matajiri wenye magari na tunaotembea na wanawake wazuri tu?
Mkuu pale wa kustaki ni kikundi cha watu waliokua na njama na mimi anulipaswa kwenda kumshtaki mmiliki wa kampuni ya usafirishaji kwa tukio la ajali..
mkuu kwani wewe sio GT?
Tajiri mwenzangu habari za asubuhi?hahahha deep down sasa .
Kuna watu humu wananiita tajiri kule PM kisa kutuma vocha za bure..
Alafu leo mnasema watu na magari yao..shabash
Ulipaswa kunyanyuka faster kama mzee Mgaya/johnthebaptist halafu unajifuta vumbi huku unasema kwa sauti..."kazi ya chama"...!🤔Siku yangu leo imeharibika mazima wakuu. Fundi leo nimejua kuaibika..
😂🤣🤣😅Ametoka wapi huyu katikati ya matajiri wenye magari na tunaotembea na wanawake wazuri tu?
Huko nasikiaga Kuna WAKURYA wengi😊Gongo la mboto tunakaa na wamama wa ajabu sana .
Na wana uwezo wa kukutoa mchezoni mapemaaa ukabaki unashangaa
Mkuu hi leo nilikua nafata mzigo ujueFundi majumba huna hata pickup ya kubebea vifaa vyako daa
Mafundi mnafeli wapi?
Kuna mmoja aliniuliza una msumari mmoja nimalizie kazi yako
Mkuu mi sio tajiri bana khaaaTajiri mwenzangu habari za asubuhi?
Aahahahahaha daaah weee mkuu umefanya nicheke leoUlipaswa kunyanyuka faster kama mzee Mgaya/johnthebaptist halafu unajifuta vumbi huku unasema kwa sauti..."kazi ya chama"...!🤔
Pole sana Fundi manyumba mtafute kwadilo upate gari ya uwezo wako.Siku yangu leo imeharibika mazima wakuu. Fundi leo nimejua kuaibika..
Baba swalehe kuwa serious bana ahahahahahha temeke mara ya mwisho kuja lini..?Pole mi nmeibiwa temeke ndala yangu moja aisee nachchemea na mguu mmoja tu kazini leo
Ukishakuwa humu wewe ni tajiri, akili kubwa, una mwanamke mkali balaa. Full stop.Mkuu mi sio tajiri bana khaaa