Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #21
Sio push lile yaani kama kuna watu walishirikiana maana kilichofanyika pale as if tupo mpiraniWalikupigaa push au🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio push lile yaani kama kuna watu walishirikiana maana kilichofanyika pale as if tupo mpiraniWalikupigaa push au🤣🤣🤣🤣
Pole ndugu.Siku yangu leo imeharibika mazima wakuu.
Fundi leo nimejua kuaibika..
Polee mkuuSio push lile yaani kama kuna watu walishirikiana maana kilichofanyika pale as if tupo mpirani
Pole sanaSiku yangu leo imeharibika mazima wakuu. Fundi leo nimejua kuaibika..
Mkuu haya maisha acha tuu...Pole ndugu.
Tafran za usafiri ws ahsubuhi kuwahi golini ni hekaheka.
Asantee mkuu...Pole sana
Hii ni mara ya kwanza na ya mwisho.. ikitokea tena jua nimelogwaPolee mkuu
Una mavi kichwani wewe ..Kumbe ndio wewe KIZEE nimekuona hapo umepigwa kipepsi ukafyatuka hadi chini?
Nyie VIZEE mtakuja kuuwawa nunueni hata VIEITE jamaniii, mtakuja kutolewa meno na vijana.
Sio kwa kile kipepsi jamanii khaaaaa.......
Cc: Poor Brain Kapeace mshamba_hachekwi
MkuuMkuu haya maisha acha tuu...
Alafu wanaokupa pole ni wachache kila mtu yupo less na mambo yake aiseee
Ndio mkuu kikubwa uzima tuu ....Mkuu
Kama haujastukia, siku hizi wabongo ni heartless. Mtu anaweza akakukwaa ama kukukanyaga halafu akapita zake wala hana habari nawe
Changamoto hizi ndugu. Kikubwa umetoka salama ni jambo la kushukuru.
🤣🤣🤣🙌Kumbe ndio wewe? Nilikua nampango wa kuleta uzi wa mtu mzima kaanguka kama gunia la viazi ila bahati yako umeniwahi
Sijaibiwa na wala sijaumia kiivo zaidi mentally sipo sawa mkuu.Pole,
Shukuru Mungu hukuumia sana na pia shukuru kama hukuibiwa.
Muongo huyo... Kile kitendo ni cha haraka na nilikua chap kuamka🤣🤣🤣🙌
Poa maalimNdio mkuu kikubwa uzima tuu ....
Japo ile moment sitasahau ni aibu ya mwaka.
Lishapita mkuu ndo changamoto zetu sisi ma hustle
Siyo gundu hiyo ni bahati mbaya tu,Sijaibiwa na wala sijaumia kiivo zaidi mentally sipo sawa mkuu.
Naona kama gundu hivi
Shukran mkuu ..Poa maalim
Sasa kuaibika kunakujaje wakati hakuna aliyekuona? Labda ungesema umejisikia aibu wewe binafsiMuongo huyo... Kile kitendo ni cha haraka na nilikua chap kuamka
Ahsante sana mkuu..Siyo gundu hiyo ni bahati mbaya tu,
worry out.
Walioniona ni wale wapuuzi walio niweka mtu kati...Sasa kuaibika kunakujaje wakati hakuna aliyekuona? Labda ungesema umejisikia aibu wewe binafsi