Siku mbaya: Nimeanguka hapa Gongo la Mboto kituoni kisa kugombania gari ya Mnazi Mmoja

Siku mbaya: Nimeanguka hapa Gongo la Mboto kituoni kisa kugombania gari ya Mnazi Mmoja

Kumbe ndio wewe KIZEE nimekuona hapo umepigwa kipepsi ukafyatuka hadi chini?

Nyie VIZEE mtakuja kuuwawa nunueni hata VIEITE jamaniii, mtakuja kutolewa meno na vijana.

Sio kwa kile kipepsi jamanii khaaaaa.......

Cc: Poor Brain Kapeace mshamba_hachekwi
Una mavi kichwani wewe ..
Haya mambo hayamkuti nyani mkuu
 
Mkuu haya maisha acha tuu...
Alafu wanaokupa pole ni wachache kila mtu yupo less na mambo yake aiseee
Mkuu
Kama haujastukia, siku hizi wabongo ni heartless. Mtu anaweza akakukwaa ama kukukanyaga halafu akapita zake wala hana habari nawe

Changamoto hizi ndugu. Kikubwa umetoka salama ni jambo la kushukuru.
 
Ndio mkuu kikubwa uzima tuu ....
Japo ile moment sitasahau ni aibu ya mwaka.

Lishapita mkuu ndo changamoto zetu sisi ma hustle
 
Back
Top Bottom