Siku mbaya: Nimeanguka hapa Gongo la Mboto kituoni kisa kugombania gari ya Mnazi Mmoja

Siku mbaya: Nimeanguka hapa Gongo la Mboto kituoni kisa kugombania gari ya Mnazi Mmoja

Kwani umeanguka mbele ya nani? Umejimwaga kwenye tope?
Mkuu kuna watu naweza sema kama waliniweka mtu kati..

Hivi inawezekana watu kama kumi mnafata gari moja alafu inatokea taflan naanguka peke angu how came .

Nimeanguka sehemu ya kawaida tuu kwa mfumo wa ku roll mara moja.
Sema nilikua chap kuamka
 
Huenda kuna kitu umeepushwa kwenye hilo daladala umelikosa baada ya kuanguka.

Ova
Daaha hili sikuwaza kabisa mkuu..
Alafu ni kweli kabisa usemalo uwenda ni kuepushwa na jambo baya .

Sema njia kama hii ya kuepushana jau
 
Ah vizuri mwanawane usimpandishe boda mkeo.
Kweli mkuu...
Alafu watu wa pembeni wanaweza kukuona mzembe kuanguka mtu mzima ila deep down ni hali ya kawaida .

Wewe boda wa mchongo takudaka tuu time will tell
 
Back
Top Bottom