Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
🏃🏃🏃🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unacheka.... Zamu yako inakuja🏃🏃🏃🤣🤣
Sawa, lakini ni lazima kuna watu walikuona.Muongo huyo... Kile kitendo ni cha haraka na nilikua chap kuamka
Kwani umeanguka mbele ya nani? Umejimwaga kwenye tope?Kwa leo sitoki tena. Hapa mpaka kesho
Na kesho sipandii gari pale bora nigeuze nalo
Ndio lakini sikuanguka ka mzigo mana nilikua na balance ni chap kwa haraka...Sawa, lakini ni lazima kuna watu walikuona.
Ova
Mkuu kuna watu naweza sema kama waliniweka mtu kati..Kwani umeanguka mbele ya nani? Umejimwaga kwenye tope?
Huenda kuna kitu umeepushwa kwenye hilo daladala umelikosa baada ya kuanguka.Kuanguka ni mwanzo mzuri....!!!
Are you serious
Ata mie nimemshinda angalau nina boxer ya mhindiMkuu,
Humu Jf wote tuna magari iweje wewe hauna hata ka starlet,vits, ist mkuu 😊 😅 bagoshaa
Pole sana mzee
Daaha hili sikuwaza kabisa mkuu..Huenda kuna kitu umeepushwa kwenye hilo daladala umelikosa baada ya kuanguka.
Ova
Mkuu tena nyie wa boxar nyie ...Ata mie nimemshinda angalau nina boxer ya mhindi
Eti hawajafaidi. LolNdio lakini sikuanguka ka mzigo mana nilikua na balance ni chap kwa haraka...
Walio niona hata hawaja faidi kuniona
Nilikua chap kuamka na kuchukua boda....Eti hawajafaidi. Lol
Ova
Vipi tumeshapita na mkeo 🤣🤣🤣 maana ndio zetu hizoMkuu tena nyie wa boxar nyie ...
Subiri tuu
Lol! Kweli kabisa, ni jau aisee.Daaha hili sikuwaza kabisa mkuu..
Alafu ni kweli kabisa usemalo uwenda ni kuepushwa na jambo baya .
Sema njia kama hii ya kuepushana jau
Sasa mkuu naona kabisa mtihani wa heshima unapata F....Vipi tumeshapita na mkeo 🤣🤣🤣 maana ndio zetu hizo
Ah vizuri mwanawane usimpandishe boda mkeo.Sasa mkuu naona kabisa mtihani wa heshima unapata F....
Mi mke wangu hapandagi boda
Kama ulikuwepo an mnaenda huku.Hapo huwa na kash kash sio poa ni mnaenda huku mnarudi kule mnaenda kule mnarudi huku
Weee siku ukijichanganya hiyo lol! Utaisema kwa herufi kubwaLol! Kweli kabisa, ni jau aisee.
Ova
Kweli mkuu...Ah vizuri mwanawane usimpandishe boda mkeo.