Siku mbili muhimu kwenye maisha yako ni zipi?

Siku mbili muhimu kwenye maisha yako ni zipi?

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,620
Reaction score
3,165
Wengine uona siku za umuhimu kwenye maisha yao ni siku aliyoolewa au kuoa, siku aliyojenga nyumba,

SIKU MBILI MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO ni siku ya kuzaliwa na siku uliyojua kwann umezaliwa

WATU
Wachache waliojua kwann wamezaliwa ndo walioacha alama kubwa duniani.

Wazazi, walimu, jamii au mtu yeyote hakuna anayeweza kukwambia kwann umezaliwa
Wengi uzaliwa, na kufa bila kujua sababu ya kuzaliwa

DUNIA itakuuliza unataka kuwa nani kama huna majibu itakufanya uwe nani

Jua kusudi la kuzaliwa na uliishi utafurahia maisha
 
Back
Top Bottom