Siku mchepuko uliponiambia ana ujauzito wangu

sawa, kula maisha binti 😀 😀
1684670663280.png
 
Sasa mkuu kudate na mke wa mtu na wew unamke Kuna Raha gani?
Ndoa zetu zinadumu, kwa sababu kuna wengine wanaosaidia ndoa hizo zidumu; mfano, kila siku nahitaji tendo, lakini mwenzangu hatoweza kufanya hivyo; ili msikwazane, upande wa pili utabeba hilo jukumu na ukirudi home unakuwa uko powa kabisa, hakuna stress.
 
Kumbe 😀
 
Back
Top Bottom