Siku Mchina akianza kutengeneza magari madogo ya kutembelea, uchumi wa Japan utayumba

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika.

Mabasi na malori mchina kashika soko, Yutong tatu sawa na scania moja, Kwenye malori ni hivyo hivyo.

Sasa siku akiamua kutengeneza gari ndogo za kutembelea, mjapani atapata shida
 
Kwenye piki piki, honda na yamaha na suzuki wametolewa sokoni huku Afrika...
Mbona anatengeneza magari tayari BYD inaitishia tesla.

Ila kumbuka na bidhaa zote unazoziona Kariakoo bado Afrika inachangia % ndogo tu ya manunuzi ya bidhaa za mchina.

Pia kumbuka kwamba magari ambayo yapo Afrika hayafiki hata 10% ya gari zote duniani. Impact yetu ndogo sana kwenye manunuzi
 
Wengi hawajui soko la Africa ni dogo sana.
 

Hii vita mkapiganie huko, kwenu.

Sisi Watanzania inatuhusu nini?

Hata hivyo usidanganye, na hayo maneno "siku wakianza"
 
Sio rahisi mjapan anauza magari duniani kote na ana technology nzuri ya magari, hata hizo PIKIPIKI huku sio nyingi kutokana na wabongo wengi hawana kipato cha kuzimiliki, mfano Honda, Yamaha, Kawasaki used ni 10M kwenda juu.

Ndo maana tunapanda hizo Toyo, kinglion yaani ukishuka kama umepigwa shot ya umeme full vibration kama degedege imepanda.

In short mchina anatoa kitu kulingana na pesa ulionayo wakati Japan anazingatia ubora zaidi na uimara wa chombo.
 
Soko analotafuta kujipenyeza Africa kwa sasa ni magari madogo ya umeme
 
Ila ndiye mwenye soko kubwa la magari na muuzaji mkubwa wa magari duniani kwa sasa
 
Ila mchina anajiharibia, naona kama anatafuta kuwa mtumwa wa dunia. So sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…