Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄 Kuna mwamba ana Tata Xenon na analipenda kinyama,ukimwambia hilux, Navarra etc anasema huo Ni uchafu sihitaji.Anazo Xenon 2 kwa sasa.Pick up ya mchina Foton Turnland ina mitetemo kama power tiller, yani haisogei hata kwa Mahindra Scropio/Bollero
Tata Xenon ina Engine ya Cummins 3.0L huyu itakuwa kapata ladha ya Cummins ndio maana kaipenda ina nguvu haswa kasoro sio luxury kama Navarra😄😄 Kuna mwamba ana Tata Xenon na analipenda kinyama,ukimwambia hilux, Navarra etc anasema huo Ni uchafu sihitaji.Anazo Xenon 2 kwa sasa.
Kwenye luxury hapo lazima iwe chini, nimeshaendesha Tata Vx Safari kwny luxury, mwendo Ni bure kabisa.Tata Xenon ina Engine ya Cummins 3.0L huyu itakuwa kapata ladha ya Cummins ndio maana kaipenda ina nguvu haswa kasoro sio luxury kama Navarra
... driving side ya Japan kama ilivyo Tanzania ni left hivyo gari zao nyingi ni RHD. So, advantage wabongo tunayopata from used za Japan ni kwamba autmatically zina-fit barabara za Tanzania out-of-the-box! Nchi kama Etiopia, Nigeria, na nyingine ambazo driving side ni right, used zao nyingi ambazo ni LHD zinatoka nchi za aina hiyo like China, US, etc.Mengi left hand driver.
Ethiopia wanazo nyingi hasa online taxi.
grat wall,ist,scion AX ,XD zote ni gari moja tofauti majinaKuna gari inaitwa Great Wall, haina tofauti na IST kabisa. Naona watu wanazisukuma jijini Dar
ist china inaitwa Great wall ikiwa bongo toyota ist ikiwa marekano inaitwa Scion, ikiwa ulaya ina jina lake pia ni gari moja.Great Wall Motors ni Co. Kama unavyosema Toyota/Nissan/Bmw na sio model ya gari boss.
... driving side ya Japan kama ilivyo Tanzania ni left hivyo gari zao nyingi ni RHD. So, advantage wabongo tunayopata from used za Japan ni kwamba autmatically zina-fit barabara za Tanzania out-of-the-box! Nchi kama Etiopia, Nigeria, na nyingine ambazo driving side ni right, used zao nyingi ambazo ni LHD zinatoka nchi za aina hiyo like China, US, etc.
By the way, 35% ya population duniani ni RHD including Japan, UK (the only in Europe), India, Tanzania, and few others. The rest 65% ni LHD - the US, China, Europe (excl. UK), South America, Canada, Russia, Nigeria, etc.
Machaguo yanakuwa mengi at the expense of some aspects.Umesahau ubelgiji, ufaransa, congo, rwanda, burundi, na anglofone countries karibu zote, na LHD kiukweli wana machaguo mengi ya magari kuliko RHD
Bongo Si mnaitaga tu magari kwa majina yenu ndio maana Kuna tako la nyani,Rav 4 Masawe etcist china inaitwa Great wall ikiwa bongo toyota ist ikiwa marekano inaitwa Scion, ikiwa ulaya ina jina lake pia ni gari moja.
Basi tuseme model karibu zote za great wall ni copy kutoka kwenye brand nyingine za makampuni mengine duniani.View attachment 2485339Bongo Si mnaitaga tu magari kwa majina yenu ndio maana Kuna tako la nyani,Rav 4 Masawe etc
Hio Gari Make Ni:great wall motors,model ni florid.Kuhusu Scion hio ni sahihi.
unaposema hio Gari bongo inaitwa great wall Ni sawa na kuulizwa manufacturer wa Gari Ni Co. Gani useme Ni BMW na model ya Gari Ni ipi useme Ni BMW.
Sahihi kabisa mkuu, nyingi Ni copybasi tuseme model karibu zote za great wall ni copy kutoka kwenye brand nyingine za makampuni mengine duniani.View attachment 2485339View attachment 2485340
Nadhani humjui vizuri mchina.. Mchina ana kila bidhaa kwa bei yakoIla mchina anajiharibia, naona kama anatafuta kuwa mtumwa wa dunia. So sad.