Siku mimba inaingia mwilini, kuna dalili yoyote inatokea?

Hivi siku ambayo mwanamke mimba inaingia mwilini mwake kuna dalili yoyote ndani ya hiyo siku au kwa muda huo wa tendo?

Na je ni dalili gani hizo? [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ukiona kila mara anataka zege na pespi baridi ujue "imooooooooooo"
 
ikiingia utasikia NDIII ujue kitu kimetua sehemu yake halafu demu atashtuka kama kachomwa na mwiba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utamuua kwa presha huyu
 
Akiwa mwanafunzi ujue ikishaingia tuuu utaanza kuhisi kuna kitu kinagonga chupi na kurudi, hivyo hivyo mpaka utakapoenda kunyea debe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bila shaka utakuwa mtondoli huo.
 
Ukisikia "Ayaaaaah" jipongeze ujue tayari we mzee baba.
 
**** ina ikuwa na ute mzito halafu anakuwa na hamu ya kutombwa pia anakuwa na joto jingi sana na siku hiyo anakuwa active kuliko siku yoyote
 
huwa kuna dalili inatokea ingawa si kwa wanawake wote wenye bahati hiyo ya kujua kama mimba imeingia mfano tumbo kuunguruma wakati wa tendo na mwingine tumbo linamuuma kwa wakati huo huo
 
Yes,me siku natia mimba huwa najua kabisa kuwa hapa huyu to a hata kama ni kwny giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…