kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
Ukiona kila mara anataka zege na pespi baridi ujue "imooooooooooo"Hivi siku ambayo mwanamke mimba inaingia mwilini mwake kuna dalili yoyote ndani ya hiyo siku au kwa muda huo wa tendo?
Na je ni dalili gani hizo? [emoji120] [emoji120] [emoji120]