Siku mimba inaingia mwilini, kuna dalili yoyote inatokea?

Siku mimba inaingia mwilini, kuna dalili yoyote inatokea?

kun wa bongo

Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
15
Reaction score
12
Hivi siku ambayo mwanamke mimba inaingia mwilini mwake kuna dalili yoyote ndani ya hiyo siku au kwa muda huo wa tendo?

Na je ni dalili gani hizo? [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hivi siku ambayo mwanamke mimba inaingia mwilin mwake kuna dalili yoyote ndani ya hyo siku au kwa mda huo wa tendo?
Najee ni dalili gani hzo?[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Tendo linakuwa ni ' tamu ' maradufu kuliko kawaida halafu mnakuwa mmekumbatiana sana huku mkikabana kama Beki Juma Nyosso na Mshambuliaji John Boko wakiwa katika mechi zao za VPL.
 
Kwa kawaida inategemeana na aina ya mwanamke, kama ni mke wa mtu ukimaliza tu utapata kausingizi kaziito then utaota ISS Alshab, Taaleban wakikufyeka kichwa live jangwani hapo jue tayari. kama ni mwanafuzi utawaota wanasheria wakubwa wakikukimbia unabaki mahakani na hakimu akizungumza kiigereza!! in short utasikia ndotoni cooooorti then unasikia 30.

Nenda Hospital kijana acha kutusumbua hapa
 
usiogope ataukiondoka leo umesha acha uzao
 
Back
Top Bottom