Siku mimba inaingia mwilini, kuna dalili yoyote inatokea?

Siku mimba inaingia mwilini, kuna dalili yoyote inatokea?

Kwa kawaida inategemeana na aina ya mwanamke, kama ni mke wa mtu ukimaliza tu utapata kausingizi kaziito then utaota ISS Alshab, Taaleban wakikufyeka kichwa live jangwani hapo jue tayari. kama ni mwanafuzi utawaota wanasheria wakubwa wakikukimbia unabaki mahakani na hakimu akizungumza kiigereza!! in short utasikia ndotoni cooooorti then unasikia 30.

Nenda Hospital kijana acha kutusumbua hapa
Coooooort then 30 [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji44][emoji44][emoji44],, nilifikiri kuna madaktari humu, kumbe minyoo,,
 
utasikie tumbo linauma chini ya kitovu! baada ya tendo la ndoa
 
Back
Top Bottom