Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
And...Mzee Said, enzi za ujana wako ulikuwa mnyamwezi kweli kweli.
Alhamdulilah...
Allah kanipendelea pakubwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And...Mzee Said, enzi za ujana wako ulikuwa mnyamwezi kweli kweli.
Hakika.And...
Alhamdulilah...
Allah kanipendelea pakubwa sana.
You owe Allah a lot kwa upendeleo aliokupatia.And...
Alhamdulilah...
Allah kanipendelea pakubwa sana.
Gagnija,You owe Allah a lot kwa upendeleo aliokupatia.
Zingatia sana ibada. Wengi hufikiri wamefika walipofika kwa juhuhdi zao binafsi, wakasahau kuwa kuna neema za Mwenyezi Mungu pia.Gagnija,
Hakika.
Namshukuru Allah kwa wema na ukarimu wake kwangu.
Gagnija,Zingatia sana ibada. Wengi hufikiri wamefika walipofika kwa juhuhdi zao binafsi, wakasahau kuwa kuna neema za Mwenyezi Mungu pia.
Ahmed Rajabu nilikuwa napenda ule Uandishi wake zaidi Utaalamu wa Lugha ya Kiswahili,Mfano leno "Lakabu" maana Yake niliipata kwa Ahmed RajabuAnd...
Alhamdulilah...
Allah kanipendelea pakubwa sana.
Yaani ulikuwa TPA huku ukiwa CUFGagnija,
Nimestaafu TPA 2012.
Kwani hairuhusiwi kuwa mwanachama wa chama cha siasa ukiwa mwajiriwa wa umma? Ninavyojua ukiwa mwanachama huruhusiwi kuleta ushabiki wa kichama mahali pa kazi. Pia kugombea nafasi yoyote. Japo sheria hii wanaivunja wanachama wa CCM bila shida. Najua mama atalifuatilia hiliYaani ulikuwa TPA huku ukiwa CUF
Mdukuzi,Yaani ulikuwa TPA huku ukiwa CUF
Yeye sio ccm?!Japo sheria hii wanaivunja wanachama wa CCM bila shida. Najua mama atalifuatilia hili
Alikuwa kiongozi kabisa sio mwanachamaKwani hairuhusiwi kuwa mwanachama wa chama cha siasa ukiwa mwajiriwa wa umma? Ninavyojua ukiwa mwanachama huruhusiwi kuleta ushabiki wa kichama mahali pa kazi. Pia kugombea nafasi yoyote. Japo sheria hii wanaivunja wanachama wa CCM bila shida. Najua mama atalifuatilia hili
Pale Cuf najua ulikuwa kiongoziMdukuzi,
Naam nilikuwa CUF na nikiwa mtumishi wa TPA.
Kwani ilikuwa hairuhusiwi?
Mdukuzi,Alikuwa kiongozi kabisa sio mwanachama
Mdukuzi,Pale Cuf najua ulikuwa kiongozi