Siku Moja na Mwalimu Wangu Ahmed Rajab Nairobi

Yaani ulikuwa TPA huku ukiwa CUF
Kwani hairuhusiwi kuwa mwanachama wa chama cha siasa ukiwa mwajiriwa wa umma? Ninavyojua ukiwa mwanachama huruhusiwi kuleta ushabiki wa kichama mahali pa kazi. Pia kugombea nafasi yoyote. Japo sheria hii wanaivunja wanachama wa CCM bila shida. Najua mama atalifuatilia hili
 
Alikuwa kiongozi kabisa sio mwanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…