Siku moja nitakuwa Rais wa Tanzania

Siku moja nitakuwa Rais wa Tanzania

Hiyo ni ndoto yangu kubwa nisipoifanikisha mimi basi mwanangu atakuwa Rais.

Nifanye nini ili nifanikishe ndoto yangu hii kubwa?
Kama tu hujui ufanye nini, sijajua utaifanikishaje. Wanaoutaka huo Urais hawaoti. Bali wanaamka kuipambania.

Be decent, si kila mara uzi JF. Mara hili. Mara lile. Spend your precious time wisely.

Anyway, endelea kuiota Mkuu. Na nakutakia kila la kheri.
 
Kama ni mtu unayetoka katika familia isiyotambulika na system iliyopo madarakani au zilizopita ,jitahidi sana kuanza kujitokeza hasa kwenye vyama vya siasa sikushauri Wala sikupangii chama Ila CCM ni the best .

Ikiwa ni mtumishi wa umma ngazi ya halmashauri Anza Mara moja kuwa karibu na chama Cha mapinduzi ifike mahali ushike hata uongozi huko kikubwa uwajibikaji na utayari wa kukitumikia chama na nchi yako .

Ila Kama inatoka kwenye familia inayijulikana na awamu mbalimbali za madaraka zilizopita na zilizopo basi jivute kwa watu mashuhuri hasa wale waliopo kwenye system specifically kwa watu wa CCM basi utapenyezwa huko taratibu utafika unakotaka au ipo siku utakuwa nguzo ya mwanao .

Dah hii mada yako raisi mtarajiwa imenikumbusha ndoto za mzee mmoja rafiki yangu akiwaza kuwa raisi japo yeye alijaribu mpaka kugombea ubunge wakati wa jiwe ijapokuwa anatoka royal family ,shida ni harakati zake zinamwangusha .

Zaidi namuombea utimize Hilo Ila usinisahau hata uwaziri wa afya mwenzio ,nitakuwa vizuri katika uwajibikaji Ila ukiona labda taaluma yangu haijiyoshelezi kuwa waziri wa afya ,basi hata uwaziri wa ulinzi maana huko ni maguvu tu ,niko vizuri kuwaendesha akina afande mlope na kiroboto maana wanatuendesha sana hapa kambini Ila yote ikifeli basi hata uwaziri wa mambo ya ndani maana nina damu ya upelelezi na ufukunyuku toka kwa kizazi changu .

Wako katika kukuombea Jambo litimie ili Tanzania yetu iwe imara na yenye kunawiri .
 
Asante kwa maneno yako mazuri 😅😅nimependa sana. Wewe unaweza kumpa moyo mtoto wako hadi akafanikiwa.
 
nandoto ya kuwa msanii mkubwa dunian afu nina miaka 35 dah ngoja kwanza niuze madini haya ya ruby nimtafute mond nimtie m10 toka hapo nivihonge media zote m2 mbili wanitangaze haswa toka hapo niend usa kumfuata chriss brown nitoe nae ngoma kali mi naitikia tu aya aya aya uyu aya uyu aya bonge moja la pn nazan ndan ya miez sita mi ni staa mkubwa dunia itanijua na ndoto itatimia ila we broo wa urais kaz unayo muulize lowasa kitu kinachoitwa namtegemea mtu kukipata jua low bettili shoutdown
 
Kama ni mtu unayetoka katika familia isiyotambulika na system iliyopo madarakani au zilizopita ,jitahidi sana kuanza kujitokeza hasa kwenye vyama vya siasa sikushauri Wala sikupangii chama Ila CCM ni the best .

Ikiwa ni mtumishi wa umma ngazi ya halmashauri Anza Mara moja kuwa karibu na chama Cha mapinduzi ifike mahali ushike hata uongozi huko kikubwa uwajibikaji na utayari wa kukitumikia chama na nchi yako .

Ila Kama inatoka kwenye familia inayijulikana na awamu mbalimbali za madaraka zilizopita na zilizopo basi jivute kwa watu mashuhuri hasa wale waliopo kwenye system specifically kwa watu wa CCM basi utapenyezwa huko taratibu utafika unakotaka au ipo siku utakuwa nguzo ya mwanao .

Dah hii mada yako raisi mtarajiwa imenikumbusha ndoto za mzee mmoja rafiki yangu akiwaza kuwa raisi japo yeye alijaribu mpaka kugombea ubunge wakati wa jiwe ijapokuwa anatoka royal family ,shida ni harakati zake zinamwangusha .

Zaidi namuombea utimize Hilo Ila usinisahau hata uwaziri wa afya mwenzio ,nitakuwa vizuri katika uwajibikaji Ila ukiona labda taaluma yangu haijiyoshelezi kuwa waziri wa afya ,basi hata uwaziri wa ulinzi maana huko ni maguvu tu ,niko vizuri kuwaendesha akina afande mlope na kiroboto maana wanatuendesha sana hapa kambini Ila yote ikifeli basi hata uwaziri wa mambo ya ndani maana nina damu ya upelelezi na ufukunyuku toka kwa kizazi changu .

Wako katika kukuombea Jambo litimie ili Tanzania yetu iwe imara na yenye kunawiri .
ingia chama tawala komaa kumtukana mbowe na lissu, na kuwaita magaidi
anzia hapo mdogomdogo
 
Back
Top Bottom