Siku moja nitakuwa Rais wa Tanzania

Siku moja nitakuwa Rais wa Tanzania

nandoto ya kuwa msanii mkubwa dunian afu nina miaka 35 dah ngoja kwanza niuze madini haya ya ruby nimtafute mond nimtie m10 toka hapo nivihonge media zote m2 mbili wanitangaze haswa toka hapo niend usa kumfuata chriss brown nitoe nae ngoma kali mi naitikia tu aya aya aya uyu aya uyu aya bonge moja la pn nazan ndan ya miez sita mi ni staa mkubwa dunia itanijua na ndoto itatimia ila we broo wa urais kaz unayo muulize lowasa kitu kinachoitwa namtegemea mtu kukipata jua low bettili shoutdown
Msikatishe watu tamaa
 
Tlaatlaah huo mgazeti wako unaotype sisomi 😹😹😹
kwa mtu kusoma maandiko yangu mathalani ya kichungaji, kisiasa au mahusiano ni Neema na Baraka Mungu tu, ndio pekee zinaweza kumfanikisha na kumuwezesha mtu kusoma na kuelewa vema jumbe na hoja zangu,

Mungu akufanikishe daima 🐒
 
Back
Top Bottom