Siku moja nitakuwa Rais wa Tanzania

Siku moja nitakuwa Rais wa Tanzania

Kila la heri.. Usipokuwa Rais uwe hata PM, mulemule tu, au waziri wa mambo ya ndani utunyooshe wahalifu wakiwemo wabakaji.
 
Hiyo ni ndoto yangu kubwa nisipoifanikisha mimi basi mwanangu atakuwa Rais.

Ndoto lazima ifanikiwe hata iweje.🙏
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe katika nia na kusudio lako jema la kua kiongozi mkuu wa nchi...

Mungu mwenyewe akufanikishe 🐒
 
Acha kumdanganya.Mnunulieni cherehani apige kazi.
ni wazo zuri pia anaweza kuanza nalo kuelekea kwenye ndoto yake,

lakini ni muhimu pia kuzingatia na kuheshimu utayari wake kuhusu kufanyia kazi ushauri wako mzuri na muhimu kiuchumi 🐒
 
Safi, sasa inabidi upambanie hiyo ndoto yako kwa hali na mali

Usikubali kubaki kwenye ile viscious cycle ya kutopambania malengo yako, kisha kufeli, kisha kujuta

The people who change the world are those who are bold enough to believe they can...
 
Back
Top Bottom