Siku mojamoja si mbaya ukachagua vyakula hivi!!!

Siku mojamoja si mbaya ukachagua vyakula hivi!!!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,151
Siku mojamoja jaribu kupata kitu cha tofauti na kile ulichokizoea, ama ukiwa outing ama unapata dinner au lunch, naamini nyumban waweza kupika vyakula vya aina nyingi sana lakini inawezekana hivi vikawa nyongeza na ukaamua kuvichagua;Enjoy!!

Sema tu nimeshaoa bhana ila isingekuwa hivyo my Dear....ningetangaza nia sasa ivi....lakini naogopa pia kwa budget ya hii misosi tungejenga kweli?????

hahahahah,..kwan yote ni siku moja jamani??? mimi ni mchumi ondoa shaka, kwa matumizi tu hapo hamna shaka, masuala ya budget ondoa shaka kabisa, kidogo hichohicho unakipangilia.pole mwaya
 
hahahahah,..kwan yote ni siku moja jamani??? mimi ni mchumi ondoa shaka, kwa matumizi tu hapo hamna shaka, masuala ya budget ondoa shaka kabisa, kidogo hichohicho unakipangilia.pole mwaya
sawa kabisa sasa nimekuelewa vizuri, ndio nakula hapa but navuta picha ya misosi uliyoweka hapa jamvini
 
mishkaki ya kitimoto hio nimeiona bhana hapo juu kabisa na mbavu za kitimoto zilizoandaliwa kwa asali....
 
yaani umeifanya dina yangu kuwa ngumu!!nina maharage na unga wa ugali yaani ninavifikiria hadi naishiwa nguvu!!!
 
mishkaki ya kitimoto hio nimeiona bhana hapo juu kabisa na mbavu za kitimoto zilizoandaliwa kwa asali....

hahahahaha, mshikak wa kitimoto utaponaaa??itakua haiivi bhana, hiyo ni ng'ombe a.k.a cow bana,
hongera kwa msosi unaokula ila hakuna ubaya ukiangalia picha coz ni msos tu itakuongezea appetite, ni catalyst yaan appetizer,...enjoy ur dinner
 
Naogopa mwaya
 
Ameline sio vizuri kuonyesha menu kali hivo huku tuna njaaaaa
 
Ngoja nilete ugali.wangu mie nilie kwa picha za mboga hapa. Mwezi mrefu kama nje!
 
MziziMkavu hebu njoo huku utoe udenda. ameline , hapati hailiwi na mtori bwana, hapo kitu na maharage.......halafu hiyo nyama choma iwe ni nundu ya ng'ombe.

Anyway nimeshiba kwenye picha.

MziziMkavu akija hapa atatupa kuleee hiyo sahani ya mwisho. Usimuite tufanye dhambi, just this once!
 
Last edited by a moderator:
ushaur mzur sn tatzo bhana watu wachum sn had misoc

khaa!!!sasa mtu anafanya kazi ili nini kama hata kula ni shida? nakuambia mm ninunie, nitukane nifanyie kila kitu ilaa usininyime msosi, tena ninaotaka mimi, sasa mwili ukiwa dhaifu utachumaje? kweli kuna wachumi kwenye chakula acha tu... ila si vizuri, kila mtu na family yake hawana budi kula vizuri ili wapate afya njema kwani chakula kizuri ni tiba tosha,
 
yaani umeifanya dina yangu kuwa ngumu!!nina maharage na unga wa ugali yaani ninavifikiria hadi naishiwa nguvu!!!
utajaribu siku nyingine si lazima leo, furahia dinner yako mwaya
 
Back
Top Bottom