Siku mojamoja si mbaya ukachagua vyakula hivi!!!

Siku mojamoja si mbaya ukachagua vyakula hivi!!!

Hahahahhaaha
hahahahah,..kwan yote ni siku moja jamani??? mimi ni mchumi ondoa shaka, kwa matumizi tu hapo hamna shaka, masuala ya budget ondoa shaka kabisa, kidogo hichohicho unakipangilia.pole mwaya
Haya bhana ngoja nijipange huku inbox
 
Sema tu nimeshaoa bhana ila isingekuwa hivyo my Dear....ningetangaza nia sasa ivi....lakini naogopa pia kwa budget ya hii misosi tungejenga kweli?????
MNGEJENGA TU MKUU TENA GHOROFA KABISAA
 
hahahahah,..kwan yote ni siku moja jamani??? mimi ni mchumi ondoa shaka, kwa matumizi tu hapo hamna shaka, masuala ya budget ondoa shaka kabisa, kidogo hichohicho unakipangilia.pole mwaya
Napata harufu ya 'wife material' hapa, sasa inakuwaje my dia Ameline?
 
Siku mojamoja jaribu kupata kitu cha tofauti na kile ulichokizoea, ama ukiwa outing ama unapata dinner au lunch, naamini nyumban waweza kupika vyakula vya aina nyingi sana lakini inawezekana hivi vikawa nyongeza na ukaamua kuvichagua;Enjoy!!

Hamna msosi hapo kwa vigezo vyetu kanda ya kuleee............
 
Si vibaya hasa huo wali kwa maharagwe na kisamvu na dagaa.
 
Back
Top Bottom