Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
ya ugali na maharage utaifurahia!!!hapa nakula nisife!!!!utajaribu siku nyingine si lazima leo, furahia dinner yako mwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya ugali na maharage utaifurahia!!!hapa nakula nisife!!!!utajaribu siku nyingine si lazima leo, furahia dinner yako mwaya
Bibie mpendwa MadameX Asante sana nimekaribia ubarikie natumuite bibie King'asti naye aje kuhudhuria kula jamani.MziziMkavu hebu njoo huku utoe udenda. ameline , hapati hailiwi na mtori bwana, hapo kitu na maharage.......halafu hiyo nyama choma iwe ni nundu ya ng'ombe.
Anyway nimeshiba kwenye picha.
mishkaki ya kitimoto hio nimeiona bhana hapo juu kabisa na mbavu za kitimoto zilizoandaliwa kwa asali....
Mkuu wajingawatu Vyakula vyenye mafuta mengi vina madharakwa binadamu vinaleta maradhi ya moyo na unene na cholesterol na maradhi mengine mengi mabaya. Kwa ufupi mafuta mengi kwenye chakula sio mazuri.Unapenda sana vyakula vya kukaanga, ni kama kila aina ya vyakula vyako vinaelea kwenye mafuta. Tunaomba kesho utubadilishie menu e.g ndizi choma au steamed food ...... Hivi MziziMkavu ni nini madhara ya vyakua vyenye mafuta sana?
Unapenda sana vyakula vya kukaanga, ni kama kila aina ya vyakula vyako vinaelea kwenye mafuta. Tunaomba kesho utubadilishie menu e.g ndizi choma au steamed food ...... Hivi MziziMkavu ni nini madhara ya vyakua vyenye mafuta sana?
Nilicheka sana juzi kati hapa niliposikia eti kuwa Wakristo wamekataa kula Kitimoto iliyochinjwa na ndugu zetu...kule Mwanzanahisi utatukanwa muda si mrefu na wasiojua nyama safi na salama(white meat vs red meat)
Henken baridaa.
Huachi kutoa watu udenda?hiyo nyama choma -it is a killer!domo limejaaje mate?Siku mojamoja jaribu kupata kitu cha tofauti na kile ulichokizoea, ama ukiwa outing ama unapata dinner au lunch, naamini nyumban waweza kupika vyakula vya aina nyingi sana lakini inawezekana hivi vikawa nyongeza na ukaamua kuvichagua;Enjoy!!
Siku mojamoja jaribu kupata kitu cha tofauti na kile ulichokizoea, ama ukiwa outing ama unapata dinner au lunch, naamini nyumban waweza kupika vyakula vya aina nyingi sana lakini inawezekana hivi vikawa nyongeza na ukaamua kuvichagua;Enjoy!!
lol umeona eee sasa vingefikaje huku wakat alievileta kaja huku mwaka huu
Naona Hata home mabmo yale yale kama kitaa wanavyoweka nyama yenye mafuta katikati ya mshikaki!!!!
Hii Misosi imepigwa picha na Tarehe zinaonekana oi Si Mchezo mwaka 2010!!!!!! oughhhh!!!! vishaozeana mbaya