Siku mojamoja si mbaya ukachagua vyakula hivi!!!

ugali maharage mbona shwari tu, hilo pishi la maharage tu ndo muhimu
 
Unapenda sana vyakula vya kukaanga, ni kama kila aina ya vyakula vyako vinaelea kwenye mafuta. Tunaomba kesho utubadilishie menu e.g ndizi choma au steamed food ...... Hivi MziziMkavu ni nini madhara ya vyakua vyenye mafuta sana?
 
Mkuu wajingawatu Vyakula vyenye mafuta mengi vina madharakwa binadamu vinaleta maradhi ya moyo na unene na cholesterol na maradhi mengine mengi mabaya. Kwa ufupi mafuta mengi kwenye chakula sio mazuri.
 
Last edited by a moderator:
Unapenda sana vyakula vya kukaanga, ni kama kila aina ya vyakula vyako vinaelea kwenye mafuta. Tunaomba kesho utubadilishie menu e.g ndizi choma au steamed food ...... Hivi MziziMkavu ni nini madhara ya vyakua vyenye mafuta sana?

ahsante kwa ushauri wako, itabidi nipunguze na niingie kwenye michemsho zaidi,. ndizi ndo huchemsha kienyeji kabisa na samaki wabichi,.. usijali Wajingawatu nitazingatia.
 
nahisi utatukanwa muda si mrefu na wasiojua nyama safi na salama(white meat vs red meat)
Nilicheka sana juzi kati hapa niliposikia eti kuwa Wakristo wamekataa kula Kitimoto iliyochinjwa na ndugu zetu...kule Mwanza
 
Umenifanya niache kutizama mpira nielekee the Chef Pride nikachukue Take Away Mpira sitouacha kutizama lol
 
Ameline familia yako ina raha sana, hususani kwenye mahanjumati
 
Mhh nimekukubali bibie kwa misosi upo juuu mwanangu..wajua pangilia kinoma...Indi kwa heinken nimeipenda sana. nshawahi piga indi kwa kilimanjaro barida yani we achha tu. big up.
 
Huachi kutoa watu udenda?hiyo nyama choma -it is a killer!domo limejaaje mate?
 
Naona Hata home mabmo yale yale kama kitaa wanavyoweka nyama yenye mafuta katikati ya mshikaki!!!!

Hii Misosi imepigwa picha na Tarehe zinaonekana oi Si Mchezo mwaka 2010!!!!!! oughhhh!!!! vishaozeana mbaya
 
lol umeona eee sasa vingefikaje huku wakat alievileta kaja huku mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…