Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Haya bhana ngoja nijipange huku inboxhahahahah,..kwan yote ni siku moja jamani??? mimi ni mchumi ondoa shaka, kwa matumizi tu hapo hamna shaka, masuala ya budget ondoa shaka kabisa, kidogo hichohicho unakipangilia.pole mwaya
Me too ameharibu kila kitu with that last plate!MziziMkavu akija hapa atatupa kuleee hiyo sahani ya mwisho. Usimuite tufanye dhambi, just this once!
MNGEJENGA TU MKUU TENA GHOROFA KABISAASema tu nimeshaoa bhana ila isingekuwa hivyo my Dear....ningetangaza nia sasa ivi....lakini naogopa pia kwa budget ya hii misosi tungejenga kweli?????
Napata harufu ya 'wife material' hapa, sasa inakuwaje my dia Ameline?hahahahah,..kwan yote ni siku moja jamani??? mimi ni mchumi ondoa shaka, kwa matumizi tu hapo hamna shaka, masuala ya budget ondoa shaka kabisa, kidogo hichohicho unakipangilia.pole mwaya
Astaghafilullah[emoji39] [emoji39] [emoji39]mishkaki ya kitimoto hio nimeiona bhana hapo juu kabisa na mbavu za kitimoto zilizoandaliwa kwa asali....
Hamna msosi hapo kwa vigezo vyetu kanda ya kuleee............Siku mojamoja jaribu kupata kitu cha tofauti na kile ulichokizoea, ama ukiwa outing ama unapata dinner au lunch, naamini nyumban waweza kupika vyakula vya aina nyingi sana lakini inawezekana hivi vikawa nyongeza na ukaamua kuvichagua;Enjoy!!