Siku mpya na pumzi mpya ya harakati za kudai Katiba mpya

Librarian 105

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
261
Reaction score
356
Ukweli huo unaweza kupuuzwa tu na mtu mwenye kufikiria leo. Lakini kwa mwenye maono na afya ya akili, katiba iliyopo inatokana na msingi wa sheria za kikoloni na baadae kuendelea kufanyiwa maboresho ya kukidhi matakwa ya utawala wa chama kimoja na kisha kukubali mfumo wa vyama vingi kwa shingo upande kutokana na shinikizo la mataifa ya
magharibi.

Sasa leo inatakikana kubeba maoni na maono ya mtanzania mwenyewe.

Aluta continua…
 
naunga mkono hoja.
P
 
Back
Top Bottom