Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

Kaskazini mwa TZ [emoji122][emoji122][emoji122] nimekuelewa.

Kaka yako mzaliwa wa mkoa gani?
 
Ilikuwaje mpaka akakuambia hayo?!
 
nyanyantole
Hili nalo ni TANGAZO?

#YNWA
 
Nmewaza Sana kwajinsi navyohangaika kutafuta halafu siku ya siku nitangulizwe na Mali amiliki nguchiro mmoja!!! Daahh!!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Japokua watu wataona sio sawa Ila mim naamin ukiwa na mafanikio hakuna point ya kuoa sababu wanawake wote watakua wanakupendea ela na full maigizo yaana hutapata real love alafu ukigundua utaumia sana
 
Hivi ule uzi wa story za vijiweni Bado upo? Story hii ilitakiwa kuwa mule🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃☕
 
Kumbuka Kwenye Story hapo wameangaika Kwa Wachungaji wengi. Ila Kumbuka Maombi bila Kutumia na Akili timamu utashangaa unakufa na Maombi yako. Watu wanatengenezwa
Huyo mama ndio master plan wa issue nzima so usishangae kumpeleka mumewe kwa wachungaji fake (wachungaji wanaotumia nguvu za giza). Hata biblia imeandika ufalme wa aina moja hauwezi kuufitinisha ufalme ufananao.
 
wanaume huwa tunapigwa na vitu vizito na akina Hawa, ila sababu ya mapenzi ya dhati tunakubali tutangulie kufa kabla ya kufa kwetu.
inasikitisha sana
 

Hongera Sana mkuu Kwa kumuokoa brother wako.

Usingepata ujasiri Huo mpira ungewekwa kati
 
Jinsia ya kike aisee ni top [emoji35][emoji35] kwenye swala la tamaa ya pesa na mali.

Ndo maana mwanaume ukiwa hauna pesa na mali,mwanamke anakuona taka taka tu.
Ndio maana wakaitwa " Hawa" yani " Hawaaaaaaa!!!!"
 
Chakula uwe una Kula nae au uwe unakula na watoto wake au Mtoto wake Yule anae mpenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…