Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

Chakula uwe una Kula nae au uwe unakula na watoto wake au Mtoto wake Yule anae mpenda sana
Hiyo njia nzuri sana, kwenye chakula jitahidi uwe unakula na watoto wake pamoja Kama umechelewa nyumbani jitahidi kula uko uko. Hata chai usikubali awake kwenye kikombe toka jikoni kama ni chai weka kwenye thermos, na watoto au ndugu wengine wanywe.
 
cut the story short broo alipona ila yule shemeji amepooza yuko kwao hapo kaskazin mwa Tanzania..
Northern Tanzania sioi labda nit000mbe tu mkuu. Ndugu yako baada ya kupata vihela ambavyo hawezi kaa Manhattan kwa mwakaa mzima akila Bata na watt wa kasino katika towers za Trump akawaona wadada wa kigoma Kama wachafu weussi ndio akawaona wa huko weupe. Na huku Hakuna wife materials Kama wanawake wa kigoma ,kimasai,kisukuma na kikurya. Yaani makabila naoa bila second guessing ninaijua tz nje ndani so hunidanganyi
 
Japokua watu wataona sio sawa Ila mim naamin ukiwa na mafanikio hakuna point ya kuoa sababu wanawake wote watakua wanakupendea ela na full maigizo yaana hutapata real love alafu ukigundua utaumia sana
Mie nilioa wakati Sina hata Mia mfukoni mkuu. Saivi wengine ndio Kama wananijutia
 
Alishajua mke ni mchawi
Ndugu yako ni mama yako na mwanao halafu awe wa kike lakini full stop. Dume akishalamba k za Latino Americans ameshakusahau fasta. Niliomba bintis saivi ama baba of two bintis
 
Jamaa yupo sahihi ogopa sana mwanamke, akiijuwa biashara yako vizuri baadaye anakwambia namimi hilo gari nataka nijifunze kuendesha, akijuwa kuendesha gari hufiki miaka mitatu yanakukuta hayo
 
2011 nimefika kwa Kaka yangu namkuta anaumwa balaa..halafu mke wake yaan full ujuaji..ooh Kaka yako atakuwa karogwa na na yule Malaya wake ..ooh Mara hivi Mara vile..nikalala pale usiku sielewi elewi Kaka analia chumban mbavu zinabana halafu mke hajali...nikawagongea nikambeba bro had chumba changu..asubuhi nikaondoka nae nikasema akacheki hospital..ile tumetoka nje ya getini nikamwambia kaka tunaenda kigoma..Moja kwa Moja From kogamboni to Kigoma..huko mtaalamu akabaini mke ndo muhusika..bro akatibiwa kwa miezi miwili...akapona...
Huku nyuma Shem akaanza kulalamika nimemuiba mgonjwa hajui alipo mume wake..akalaani Sana..
Mtaalamu akaeleza uchawi uliofanyika shemeji akishirikiana na mama Yake mzaz walitumia mjusi mwenye mimba ambae walimpasua na kutoa kitoto Cha mjusi ambacho walikisaga na kuchanganya na dawa zingine wakamtilia kwenye chakula..ile kitu ikaenda ikafunga utumbo mpana na kusababisha vichomi..broo akawa hapati haha kubwa ..anakula lakn haendi chooni ....
To cut the story short broo alipona ila yule shemeji amepooza yuko kwao hapo kaskazin mwa Tanzania..
Ninavyofahamu mjusi anataga kama nyoka, kenge na chura. Mjusi habebi mimba
 
Mwanamke (mke au mpenzi) sio ndugu bali ni zaidi ya rafiki, mm nawekeza zaid nyumban maana wao ndio watakao tupia mchanga wa mwisho kaburini kwangu.

hawaeleweki hawa viumbe
 
Sure
Wengine tunafanya kazi kwenye mashirika fulani ambayo ukidedi basi mke au mrithi analamba kama 300m. Hiyo siri hatokaa ajue mtu hahahaaa...simaanishi siwaamini watu wangu wa karibu au mke. Ila shetani mthenge thana na hana adabu kabisa
Ukweli ndugu. Yaani huyu sataaan anaweza akamuingia akamshawishi kula tunda ujue.
Ni Kama zile bima za maisha unamkatia mzee wako akiwa ageda yaani akifa tu unatolewa chochote. So ukipigika na asipodedi sheta ataanza kupenyeza sauti yake kuwa huyu vipi mbona hafi
 
Mwanamke (mke au mpenzi) sio ndugu bali ni zaidi ya rafiki, mm nawekeza zaid nyumban maana wao ndio watakao tupia mchanga wa mwisho kaburini kwangu.

hawaeleweki hawa viumbe
Sure mkuu mkeo anaweza akaolewa ukawa wewe ndiye bamkwe
Kuna tajiri mmoja mza alioa mke watu. Jamaa alitolewa fresh kimaisha.yaani mtu ampende mkeo aje kuelewana mahari.yaani jamaa alichenji kimaisha uzuri wa kuzaa binti mZuri inaonekana kwake
 
Sure mkuu mkeo anaweza akaolewa ukawa wewe ndiye bamkwe
Kuna tajiri mmoja mza alioa mke watu. Jamaa alitolewa fresh kimaisha.yaani mtu ampende mkeo aje kuelewana mahari.yaani jamaa alichenji kimaisha uzuri wa kuzaa binti mZuri inaonekana kwake
Daaaah ujasir huo waliutoa wap
 
Hakuna mganga wa kienyeji anaweza mtibu mtu. Ni mazingaombwe. Shetani hawezi mtoa shetani ufalme una fitinika. LIPIA TANGAZO. Usipotoa zaka kamili kwa Mungu utalogwa tu mpaka ufe
omba yasikukute bro..... hi ni dunia watch your mouth
 
Japokua watu wataona sio sawa Ila mim naamin ukiwa na mafanikio hakuna point ya kuoa sababu wanawake wote watakua wanakupendea ela na full maigizo yaana hutapata real love alafu ukigundua utaumia sana
Diamond plutnam anajua nn anafanya
 
Mwanamke siku zote ni kuishi naye kwa umakini sana tena kwa akili nyingi mno.
 
Back
Top Bottom