Siku mtu mwenye mali zake mkazi wa Dar aliyeugua maradhi yasiyojulikana alivyoletwa kutibiwa kwa mganga wa kienyeji huko Lindi

Alishajua mke ni mchawi
 
kabla hujaenda kichwa kichwa, nini tatizo kaka!
 
Alishajua mke ni mchawi
sasa mbona kaz ilikuwa kubwa apo we fikiria mke alivokaribu na mume ilikuwa hakwepek na mwisho apo ndio paliponichoma zaidi yaan daktar nae anakubali kuwa muuwaji kisa pesa ebu waza uyo mwanamke ukute hata kazi halima na kichwa kimejaa upuuzi si bora angembana mshikaji angempa mpunga wa kutosha maana jamaa anazo angepata pesa na balaka kutoka mungu sasa kaenda kula pesa za mwiz na baraka kutoka kwa shetani

waganga mjitathimin nje ya hapo nyinyi pia ni sawa na wachawi tu
 
Mume hakufa babu alikataa huo mpango wa mwanamke. Jamaa alipona kabisa na baada ya siku 21 mke hakumaliza wiki akafa
 
thubutu kila kitu kimeratibiwa kuanzia kuongea mada ninazo post ngumu mtu kunijuq hata akinijua itamsaidia nn mm nasimami ukwel na haki japo walimwengu wamekuwa wakiniforce niwe mshenz lkn Noooooooo
ok poa, nenda kaliamshe.
 
Mkuu LIKUD hili liko wazi,hata wateja wakubwa wa waganga ni wanawake! Na inshu nyingi ni mahusiano..tunalogwa sana wazee..kuna watu humu hizi inshu wanazichukulia story za kwenye kahawa..lakini zipo! Kuna watu wako kwenye vifungo vya ndoa na mahusiano na hawajui wanachomokaje..mambo hayaendi,wamewahiwa!
 
Mjusi gani anashika mimba. Hukuwahi kusoma tabia za reptilia. Stori ina funzo pamoja chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…