Siku muhimu

Siku muhimu

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
1615195357129.png


Habarini
Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo?

Wenu
Ladyf
 
Safi sana ladyfurahia kwa kutuwakilisha vilivyo. Behind every successful man, there is an equally intelligent, brave, unassuming woman. ^Hata bila kuwezeshwa tunaweza!^ Jambo la msingi ni mazingira rafiki!!!
 
Back
Top Bottom