Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
huyu jamaa nilikuwa namchukia mwanzoni. kiukweli sikuwa nimezoea stories za namna hii. unajua sisi wabongo tunapenda stories za kutia huruma,manung'uniko,kukata tamaa, huzuni n.k yaani mtu akiandika nilikunywa sumu sikufa au nilitaka kunywa sumu sababu ya shida. watu watapenda sana huo uzi. akija mwingine akaandika jamani sijala siku ya tatu hii watu watampa pole sana na kufurahi kuwa mwenzao hajala wao wamekula so wanajiona wapo ok. huyu Bill Lugano yupo tofauti. hataki shida na mtu ana maisha yake ya kifahari sana. huyu jamaa anasema amesafiri bado kufika Mbinguni tu lakini nchi nyingine za hapa Duniani ameatia mguu. anadai mademu wake huwa hawa chakati mpaka upitwe mwaka kwanza wa uangalizi chini ya daktari maalum. na anataka wawe sealed kabisa. then walishwe vizuri wapimwe afya n.k
sisi uswahilini tunakual tu bila kuosha wala kuchemsha... tunakamata tunachakata maisha yanasonga. ila kifupi napenda nami nikiwa mkubwa niwe kama jamaaa. nitafurahi sana na kuwaoneshea shemeji na dada yangu mafanikio yangu maana hapa kwao kwa sasa siwaelewi. leo tena shemeji kaondoka na remote ne extension so siwezi angalia tv.nadhania amejisahau. kuna siku anaondoka na ile cable ye umeme ya TV so hapo inakuwa hamna namna tena. sasa nawaza nikiwa kama Bill Lugano si nitakuwa na Tvs nyingi kiasi hata mtu akiondoka na remote moja naangalia nyingine? mademu watakuwa hawanisumbui sasa hivi kuwapata imekuwa ngumu mpaka uwe na kitambulisho cha Nida, Passport, Barua toka Serikali za Mitaa, Mhuri toka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali... yaani unajikuta tu unachoka kufuatialia Unyevu. unaacha tu . lakini wenzangu wanakula tu kiulani.... inaumiza sana.