Siku nikiamua kuoa

Siku nikiamua kuingia kwenye gereza la kujitakia mwenyewe nitahakikisha ninaoa mwanamke wa aina hii:

1: Mwanamke asiyekuwa na vikundi vya marafiki!
2: Mwanamke mama wa nyumbani [emoji817] percent
Ukikuwa utaelewa tu mjukuu wangu umri bado bado sanaaa 🙂
 
Kila la kheri, ila huyo ulomtaja mwenye hizo sifa hapa duniani hakuna kajaribu sayari nyingine unaweza bahatika.
 
Unataka mwanamke ambaye atakuwa ni mama wa nyumbani 100% wakati huo huo hutaki awe tegemezi! Nadhani aina hiyo ya mwanamke unayo itaka walikufa kwenye ajali ya Mv. Bukoba
 
Unapenda Misifa wewe ndo Maana unapenda Umbea, nani kakwambia Nyie Mmeumbwa kwa Udongo, Nyie ni pande letu na Nyama ya Ubavu hebu kaa kwa Kutulia achana na Kujua Kipato cha Mumeo Eboooo ! [emoji851]

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo siku ya harusi yako usisahau kutenga eneo letu wavutaji bange wenzako mdogo wangu... ipendeze kama litakuwa pembeni kidogo na eneo la vinywaji
 
Mawazo ya ujana mara nyingi hubanwa na fikra danganyifu. Ndoa ni dhana Pana sana ambayo ndani inabeba ujumbe mzito uliojificha ndani ya neno "MILELE".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…