Siku nikiamua kuingia kwenye gereza la kujitakia mwenyewe nitahakikisha ninaoa mwanamke wa aina hii:
1: Mwanamke asiyekuwa na vikundi vya marafiki!
2: Mwanamke mama wa nyumbani [emoji817] percent
3: Mwanamke aliyekuwa mjuwaji
4: Mwanamke mwenye hofu ya Mungu
5: Mwanamke asiyetumia kilevi chochote
6: Mwanamke asiyekuwa tegemezi kwao kwa asilimia [emoji817]
7: Mwanamke asiyekuwa mmbea na mchoyo
8: Mwanamke asiyekuwa na Mtoto kabla yangu
9: Mwanamke aliyekulia kwenye ndoa ya baba na mama
10: Mwanamke asiyeweza kugundua kipato changu hadi anaingia kaburini!
N:B
Sijajikita kabisa kwenye umbo la Mwanamke kabisa kuhusu urefu ama ufupi, kuhusu unene wala wembamba, kuhusu rangi wala kabila maana mimi sio muumbaji siwezi kuumba hata sisimizi