Siku nikiamua kuoa

Siku nikiamua kuoa

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Siku nikiamua kuingia kwenye gereza la kujitakia mwenyewe nitahakikisha ninaoa mwanamke wa aina hii:

1: Mwanamke asiyekuwa na vikundi vya marafiki!
2: Mwanamke mama wa nyumbani [emoji817] percent
3: Mwanamke aliyekuwa mjuwaji
4: Mwanamke mwenye hofu ya Mungu
5: Mwanamke asiyetumia kilevi chochote
6: Mwanamke asiyekuwa tegemezi kwao kwa asilimia [emoji817]
7: Mwanamke asiyekuwa mmbea na mchoyo
8: Mwanamke asiyekuwa na Mtoto kabla yangu
9: Mwanamke aliyekulia kwenye ndoa ya baba na mama
10: Mwanamke asiyeweza kugundua kipato changu hadi anaingia kaburini!

N:B
Sijajikita kabisa kwenye umbo la Mwanamke kabisa kuhusu urefu ama ufupi, kuhusu unene wala wembamba, kuhusu rangi wala kabila maana mimi sio muumbaji siwezi kuumba hata sisimizi
 
Anaweza kuwa na sifa zote hizo, wakati una muoa, lakini akishaingia tu ndani akawa pasua kichwa kuliko hata yule mwanamke uliyemtoa bar!!!acheni kudanganyana, kwenye ndoa hakuna fomula, eti akiwa hivi ndio atakuwa vile, ni kumuomba Mungu tu!!

Kuna jamaa yangu alikuwa bosi bima,(NIC) huko kanda ya ziwa alimuoa barmaid , alionekana kituko toka kwa marafiki zake, na jamaa zake, ila hadi leo wana zaidi ya miaka 15 na watoto 3, na wanaishi maisha ya amani na raha, wale wenzake sasa waliooa wasomi, wengi wao sasa wana ndoa zaidi ya 3!!!
 


Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana

Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano
Kupanga Ni Kuchagua
 
1,2na 10 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] navyo penda marafiki umbea na uchunguzi harafu useme nisijue kipato chako my wangu hapana yaani MWANAMKE wa SIFA. Hizo bado hajaumbwa ndio kwanza hata huo udongo wa kuanza kumfinyanga bado Mungu hajauandaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Oya hizo Qualifications zote za mtu mmoja???

Ni mimi ndo naona hii kitu ni fantasy au tuko pamoja wakuu??
 
Ni mbuzi tu ndio wana sifa hizoo.

Welcome umbuzini utajipatia dem bora kama yule mwenzako walie mfuma vichakan na dem wake
 
Nenda mirembe utampata mwenye sifa hizo hapo juu mwanangu. Ukitaka mke anayekufaa angalia sifa za mama yako
 
Back
Top Bottom