Siku nikijiunga CCM na Rais akaniona. Sikosi cheo. Ninazo sifa anazozipenda

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Tofauti na hawa choka mbaya Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable hawa ni waporipori hawana mvuto. Nawaambia mimi nina mvuto. Siku nikiamua tu kujiunga na CCM napata Ukuu wa Mkoa, Wilaya au Ubunge nije kuwa Waziri.

Wajihi wangu unaunganishwa zaidi na kifua kipana. Nlimsikia Rais akimsifia Waziri mmoja anakifua kipana. Toka siku ile nikaanza mazoezi. Now nimekaa sawa. Pia leo nimemsikia akimsifia mwakilishi toka Urusi kuwa pamoja na uzee bado ni hendisamu. Hapo nikapika ngumi hewani. Hiyo sifa ninayo.

Wallah wabillah wengi nitawaacha solemba nikiamua tu kuingia CCM ntafanya juu chini nionekane na rais. Hachomoi. Nitapata tu cheo.
Lucas na Choice wao wanaringia misambwanda tu ambayo si kipaumbele cha rahisi. Anataka mtu mwenye kifua kipana.
 
Tofauti na hawa choka mbaya Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable hawa ni waporipori hawana mvuto. Nawaambia mimi nina mvuto. Siku nikiamua tu kujiunga na CCM napata Ukuu wa Mkoa, Wilaya au Ubunge nije kuwa Waziri.

Wajihi wangu unaunganishwa zaidi na kifua kipana. Nlimsikia Rais akimsifia Waziri mmoja anakifua kipana. Toka siku ile nikaanza mazoezi. Now nimekaa sawa. Pia leo nimemsikia akimsifia mwakilishi toka Urusi kuwa pamoja na uzee bado ni hendisamu. Hapo nikapika ngumi hewani. Hiyo sifa ninayo.

Wallah wabillah wengi nitawaacha solemba nikiamua tu kuingia CCM ntafanya juu chini nionekane na rais. Hachomoi. Nitapata tu cheo.
Labda kama mvuto wako ni wowowo sawa
 
Back
Top Bottom