Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakikaNa ubaya unaweza kuta hvyo tusivyoweza kuviona ni vingi mara mbili au zaidi ya tunavyo viona
😂😂😂😂Naianza 2022 kwa ushirikina.
Nipo Kwa Msisi tangu jana natengenezwa
😂😂😂😂Siku ukikamata mwizi usiku. Mvue nguo zote, funga mikono kwa nyuma, funga miguu yote Kisha mtundike kwenye tawi la mti miguu juu kichwa chini. Kisha muacheni hapo mpaka asubuhi.
Kabla hamjamtoa atakua amekiri kwamba hataiba Tena. Lkn pia unaweza kumuongezea mzigo kwa kufunga tofali au jiwe dogo na kuninginiza kwenye koroda** zake.
Sawa sawaKimsingi mchawi ndo inabidi auliwe kabisa bila msamaha
Hata biblia imeandika usimuache mchawi aishi.
Madhara ya mchawi ni makubwa sanaaaaaaaaaaaaaaa ukilinganisha na mwizi
😂😂😂😂Wote wanakurudisha nyuma kimaendeleo, mwizi ni mchawi tu na yeye[emoji28]