hakikaNa ubaya unaweza kuta hvyo tusivyoweza kuviona ni vingi mara mbili au zaidi ya tunavyo viona
ππππNaianza 2022 kwa ushirikina.
Nipo Kwa Msisi tangu jana natengenezwa
ππππSiku ukikamata mwizi usiku. Mvue nguo zote, funga mikono kwa nyuma, funga miguu yote Kisha mtundike kwenye tawi la mti miguu juu kichwa chini. Kisha muacheni hapo mpaka asubuhi.
Kabla hamjamtoa atakua amekiri kwamba hataiba Tena. Lkn pia unaweza kumuongezea mzigo kwa kufunga tofali au jiwe dogo na kuninginiza kwenye koroda** zake.
Sawa sawaKimsingi mchawi ndo inabidi auliwe kabisa bila msamaha
Hata biblia imeandika usimuache mchawi aishi.
Madhara ya mchawi ni makubwa sanaaaaaaaaaaaaaaa ukilinganisha na mwizi
ππππWote wanakurudisha nyuma kimaendeleo, mwizi ni mchawi tu na yeye[emoji28]