mshana jr mbona mkawaida tu na mwenye hofu sana ya MUNGU?Uwe na zindiko la nguvu.
Nitamwambia mshana jr. amkia kwanza halafu nitamwambia vua miwani yako nione sura yako mwisho nitamwamuru ale konokono mbichi ili nione kama anaweza kumudu.Nitamuuliza maswali machache tu kama yafuatayo;
1:Mshana Jr we ni binadamu wa kawaida au ni kiumbe umetumwa toka kuzimu.
2: Unajua nini kuhusu imani unaabudu Mungu au miungu unayoijua wewe?
3:Unapitia misukosuko gani katika kazi yako unayoifanya ya ulozi.?
4:kuna tofauti gani kati yako na wachawi?
Mwisho kabisa nitamshukuru kwa busara na hekima yake aliyojariwa lakini ni baada ya kunijibu maswali yangu kwa ufasaha pasi na uongo.
Na wew Mwana Jf ukikutana nae Leo Mshana Jr utamuuliza nini?
kuna tofauti gani Kati yako ns maswali yako?Sijasema a deal na Mimi nimesema nitamuuliza maswali yangu Mimi.