Siku nikikutana na Mshana Jr

Siku nikikutana na Mshana Jr

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Nitamuuliza maswali machache tu kama yafuatayo;

1:Mshana Jr we ni binadamu wa kawaida au ni kiumbe umetumwa toka kuzimu.

2: Unajua nini kuhusu imani unaabudu Mungu au miungu unayoijua wewe?

3:Unapitia misukosuko gani katika kazi yako unayoifanya ya ulozi.?

4:kuna tofauti gani kati yako na wachawi?

Mwisho kabisa nitamshukuru kwa busara na hekima yake aliyojariwa lakini ni baada ya kunijibu maswali yangu kwa ufasaha pasi na uongo.

Na wew Mwana Jf ukikutana nae Leo Mshana Jr utamuuliza nini?
 
hapo namba 3 umeniacha kidogo.....so kumbe mshana ni mlozi? hivi mlozi si mtu anayeroga wengine au mimi ndio sijui
 
usisahau kubeba Biblia,Quran, maji ya baraka, tasbihi, rozari, mafuta ya upako na kila kitu unachohisi ww kitakufaa [emoji126][emoji126][emoji126]
 
Hivyo vyote ninavyoooo
 
Nitamuuliza maswali machache tu kama yafuatayo;

1:Mshana Jr we ni binadamu wa kawaida au ni kiumbe umetumwa toka kuzimu.

2: Unajua nini kuhusu imani unaabudu Mungu au miungu unayoijua wewe?

3:Unapitia misukosuko gani katika kazi yako unayoifanya ya ulozi.?

4:kuna tofauti gani kati yako na wachawi?

Mwisho kabisa nitamshukuru kwa busara na hekima yake aliyojariwa lakini ni baada ya kunijibu maswali yangu kwa ufasaha pasi na uongo.

Na wew Mwana Jf ukikutana nae Leo Mshana Jr utamuuliza nini?
Nitamwambia mshana jr. amkia kwanza halafu nitamwambia vua miwani yako nione sura yako mwisho nitamwamuru ale konokono mbichi ili nione kama anaweza kumudu.
 
Mshana jr c wa kispoti spoti, hata mm natamani siku moja nimuone, nahs atakua mfupi hv halafu mnene kias[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom